Tushare kauli hii: "Mtalimia meno"

Tushare kauli hii: "Mtalimia meno"

manonawire

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
943
Reaction score
1,223
Habari wakuu

Kama heading ilivyo hapo juu embu tuambiane wewe unalimia meno kwa mtindo gani.

Mimi na jua hili kali na joto kama New Delhi nalimia meno kwnye maeneo haya ya kimaisha, (masomo, mapenzi, pesa ndo usiseme) hizi ni changamoto nakumbana nazo daily.

Watu ni tofaut inawezekana wewe unakumbana na matatizo ya kifamilia, kibiashara, au hata kazini.

Embu tujuze namna unavyolimia meno.
 
kuelewa alichoandika mtoa mada inatakiwa uwe una GPA ya 5 primary & sec. schools
 
Hii kauli aliitoa mlevi mmoja kabla kuanza kunywa, na alikuwa na walevi wenzake na mlevi mmoja wa misungwi ndio alimuuliza swali, yeye bila hata huruma akaropoka watalimia meno.

Ahsante sana mlevi
 
Back
Top Bottom