Tushauriane kwa maboresho ya maisha

Tushauriane kwa maboresho ya maisha

mwambunnyara

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Ndugu zangu,nimekuwa mwalimu kwa mwaka mmoja sasa,lakinii kutoka moyoni nlipenda sana Kuwa mfamasia,nlisoma degree yangu ya ualimu hapo udsm,na sasa nawaza kutafuta chuo chochote binafsi nisome diploma ya ufamasia then niendelee na safari ya maisha,kwa sababu kusoma bachelor ya pharmacy ni mpaka nipite TCU,name sina uhakika kama watanichagua kutokana name matokeo yangu ya advance, nlipata E,E,E kwa CBG!!nawakaribisha wanna jukwaa kwa ushauri zaidi katika chili,karibuni
 
Back
Top Bottom