Tushauriane style nzuri ya kusuka kipindi hiki cha sikukuu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naombeni wadada tushee idea ya stlyle nzuri za kusuka msimu huu wa sikukuu.
Maweaving naona kama yanachosha pia joto sana rasta nazo vilevile.

Tutoke vipi? Naomba tupeane ushauri hapa
 
Hizo style muwe na hela zenu za kusukia, sio unatafuta style ya nywele huku unategemea hela kutoka kwa mtoto wa mwanamke mwenzio, mungu hapendi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kupendeza gharama, mgharamikie ili ukimsifia uwe umejisifia na wewe.
 
Mm wangu akinyoa kipara wembe ndo namuona kama malaika, yani anapendeza naweza kumsifia kila baada ya dakika 1.
 
chukua peruvian au brazilian ndefu pamoja na closure tengeneza kofia so joto halitokusumbua maana si muda wote kichwa kitakua kina nywele, kwanza inasave hata ukipata kimtoko na kichwani hakueleweki.
 
Hizo style muwe na hela zenu za kusukia, sio unatafuta style ya nywele huku unategemea hela kutoka kwa mtoto wa mwanamke mwenzio, mungu hapendi.
ahahaaa yaani hapa nasubiria tu budget niiforwad kwa mtu jinsi ilivo mkuu! acha ubahili
 
chukua peruvian au brazilian ndefu pamoja na closure tengeneza kofia so joto halitokusumbua maana si muda wote kichwa kitakua kina nywele, kwanza inasave hata ukipata kimtoko na kichwani hakueleweki.
asante mkuu au ninunue wigi kabisa? ila mawigi nayo unakuwa kama mzimu vile?
 
Back
Top Bottom