Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahaaa hapana bana hyo haifai kwa sasaTwende kilioni
Haina joto ndo inafaa kwa kipindi hikiahaaa hapana bana hyo haifai kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi zibane tu kidoti style coz hutaki kusukia rastaahaaa hapana bana hyo haifai kwa sasa
wengine vichwa vibayaaHaina joto ndo inafaa kwa kipindi hiki
sio ndefu kiivo hazifai kubana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi zibane tu kidoti style coz hutaki kusukia rasta
weka picha plsFanya Halle Berry haircut style basi
Lol bas nyoa zibakishe sizewengine vichwa vibayaa
sio ndefu kiivo hazifai kubana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hizo style muwe na hela zenu za kusukia, sio unatafuta style ya nywele huku unategemea hela kutoka kwa mtoto wa mwanamke mwenzio, mungu hapendi.
Mm wangu akinyoa kipara wembe ndo namuona kama malaika, yani anapendeza naweza kumsifia kila baada ya dakika 1.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kupendeza gharama, mgharamikie ili ukimsifia uwe umejisifia na wewe.
Ubahiri huo.Mm wangu akinyoa kipara wembe ndo namuona kama malaika, yani anapendeza naweza kumsifia kila baada ya dakika 1.
ahahaaa yaani hapa nasubiria tu budget niiforwad kwa mtu jinsi ilivo mkuu! acha ubahiliHizo style muwe na hela zenu za kusukia, sio unatafuta style ya nywele huku unategemea hela kutoka kwa mtoto wa mwanamke mwenzio, mungu hapendi.
asante mkuu au ninunue wigi kabisa? ila mawigi nayo unakuwa kama mzimu vile?chukua peruvian au brazilian ndefu pamoja na closure tengeneza kofia so joto halitokusumbua maana si muda wote kichwa kitakua kina nywele, kwanza inasave hata ukipata kimtoko na kichwani hakueleweki.