Tushauriane style nzuri ya kusuka kipindi hiki cha sikukuu

Nilikumiss wewe kamand wangu lol
 
chukua peruvian au brazilian ndefu pamoja na closure tengeneza kofia so joto halitokusumbua maana si muda wote kichwa kitakua kina nywele, kwanza inasave hata ukipata kimtoko na kichwani hakueleweki.
Mamy... unafaham sehem wanayoweza kutengeneza kikofia vzur. Naomba unijuze..
 
Mamy... unafaham sehem wanayoweza kutengeneza kikofia vzur. Naomba unijuze..
Pole , ndiyo naona leo comment yako....huwa kuna duka kariakoo la nywele ndo huwa natengenezea hapo na wanatengeneza vizuri mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…