hebu cheki zawadi itakayodumu mwaka mzima na kila siku ataiangalia bei yake pia ni nzuri nayo ni kalenda
Ntakutoa out Ijumaa tukale mtura.Me tokea nimeanza kujitambua sijawahi hata Valentine moja 😀
Ndani ya round ya kwanza inakua lain yenyew ila kuanza round ya tatu au nne lazima tu #uta ambiwa kwamba nasikia maumivu kw hiyo umuhimu wa hiyo kitu ndy utaanza kufahamikia kwny hiyo stageJamani!! K si inalainika yenyewe?
WoiiNtakutoa out Ijumaa tukale mtura.
Safi,wakati huo umezima umeme?Mishumaa inayonukia na mafuta ya mwili.
Nitawasha mishumaa hio ghetto na hayo mafuta nitatumia kumpa massage.
Hio zawadi safi kwa bajeti yangu ya sh 20,000 na wote tutafurahi na kuikumbuka siku ya wapendanao.
Manake hapo umekataa offer sio?Woii
Huo mtura nilikula Mara moja sijawahi rudia tena, ndani mtamu nje m'baya
Mkuu umeme wa nini tena? Utafanya zawadi hikose umuhimu.
[emoji3] poaMkuu umeme wa nini tena? Utafanya zawadi hikose umuhimu.
Hapo ni mishumaa , mafuta na kitanda tu
Ngoja tusubiri wataalamuHivi siku hizi maua na kadi haviruhusiwi kutolewa kama zawadi tena