kama ni manzi tafuta zawadi yakuishi kidogo, kuku mnakula mnasahau ndani ya siku tatu tu!
Ni sahihi, hata mimi naona vyakula na vinywaji haviwezi kusimama kama zawadikama ni manzi tafuta zawadi yakuishi kidogo, kuku mnakula mnasauu ndani ya siki tatu tu!
nunua ata perfume mzee
Nasikia mabaharia wameshafikia muafaka zawadi ya Valentine hii ni tenga la nyanya.
Basi fanya nyanya sado moja na vitunguu sado mojaNyumbani hapiki?!
Ni wazo zuri,nitaangalia mbadala perfume hatumiikama ni manzi tafuta zawadi yakuishi kidogo, kuku mnakula mnasauu ndani ya siki tatu tu!
nunua ata perfume mzee
My thought exactly.Nuna kitu ambacho unajua yy atakipenda au anawishi kuwa nacho lakini pia angalia na uwezo wa mfuko wako kama unaweza kumudu mfanyie maisha ndio haya haya mfurahishe tu kama unauwezo.