Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 617
- 552
Wakuu hivi ni Jambo gani ulilowahi kufanya utotoni...ukiwaza unabaki kucheka tu????
Mimi binafsi kutokana na kukulia bushi chini ya miaka kumi Gongo haikuwahi kuniletea wenge kabisa,home ilikuwa inaandaliwa hivyo pegi za hapa na pale Kama kawaida.....skuli nilikuwa natesa japo utoro kimtindo haukutaka kunileave kirahisi kiasi ikawa Kama gear ya kupendwa na walimu(katika kuniasa niache utoro kwani nilikuwa tegemezi pale skonga)......madam Vero nakusalimia,madam lrene.......
kwa Leo niishie hapa
wakuu hebu fungukeni....