Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kinachonikuna kuliko vyote mkuu ni kwamba hata tukishindwa sasa tuna opposition party ya ukweli, yale mambo ya mtiririko wa mivyama naona ndiyo mwisho wake huu hasa ukizingatia walihongwa eti wamejitoa kumsapoti JK
yuko lushoto na january wanatafakari magumu yaliyo mbele yaoJamani mbona simsikii Makamba
Huu ndio ukweli. Juu ya mwamba huu (ushindi wa upinzani majimboni) tuko katika maandalizi ya dhati ya kujenga taifa la kudumu. Jk analenga urais tu kwa sasa ila udiwani na ubunge kavisusia kwa upinzani. Lakini tungoje matokeo yote ya bara kwanza