dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
Habari wakuu
Mimi ni mjasiliamali ninayeanza, niko na kampuni ya Madawa iliyosajiliwa na nyaraka zote zipo, na ninapatikana Dar es Salaam.
Kuja kwangu hapa ni kutafuta mtu ambaye atakua tayari tushirikiane kusupply vifaa tiba(Medical equipment) kwenye moja ya hospital za hapa Tanzania, kwani tayari nimeomba tenda na nimeshaipata pamoja na LPO(ambao ndo mkataba) tayari nimepewa, nilipokwama ni mtaji kama nilivosema hapo juu mimi ni mjasiliamali ninayeanza so hata mtaji bado ni mdogo, maana kuna kazi nyingine nimeipata imekua vigumu kugawanya mtaji mdogo kwa kazi mbili kwa pamoja.
Kwa yeyote atakaye kuwa tayari ninamkaribisha PM kwa maelezo na maswali mengine pale ambapo atahitaji kujua zaidi.
NB.
Faida tutagawana kulingana makubaliano tutakayoyaweka baada ya kutoa mtaji(Capital)
Natanguliza shukurani.