Nani sijui alituroga mambo za hovyo hovyo ndio tunakimbiliaMbona uzi mzr sana ila watu wameususa au kwasababu ujausisha mambo ya ngono
Okay, vizuriNimeamua kuanzisha group ili liwe msaada kwetu mafundi na wateja kwa pamoja.ili litakua group la kusaidiana kutatua matatizo ya kiufundi na ushauri vifaa vinapopatikina kwa urahisi ila la kuzingatia tusiwe wajanjawajanja tufanyeni kazi.
Simu software vs hardware tutakua tunaweka solution zake
Computers tunaweka solution
Tv music tutaweka solution
Karibuni kwa ushauri tushirikiane
Link hiyo hapo chini