Habari wana jf, Mimi nina skills za ku repair simu na computer na 80 vifaa vya ufundi ninavyo ila shida ni capital ya kupanga fremu .
Kama unaweza kuwa interested nifate PM tuzungumze.
Location yaweza kuwa ni dar au kibaha.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk