Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu kuna app gan ambayo inaweza kusearch jina/text katika photo? Letsay umetumiwa picha yenye majina halafu unataka kusearch
 
Wakuu msaada tafadhali. Katika kupitia faida za ku root device nimegundua ni nyingi mno kuliko hasara. Risk kubwa nliyoiona ni kua device inakua vulnerable to malicious attacks kama hamna antivirus nzuri. Ila naamini wale ambao tayari mtakua mmeroot mna fahamu vizuri hilo. Je, ni install antivirus gani (ya free) ambayo itakua msaada sana kwangu device yangu itakapokua rooted. Device nnayotaka kuiroot ni tablet, galaxy note 10.1 (2014 edition)
 
Mi natumia VIDMATE kwa kila kitu kutizama video,download music,movies inakupa option ya kuchagua kitu unachodownload kiwe cha Mb nhapi.
 
Mm Mtoto alinifutia gallary vitu vyote nilivyo tumiwa kwa whatsapp,nifanyeje nivipate tena
 
Iko vizuri hii app nimeipenda hivi hakuna na maujanja yanayoweza fanyika mtu ukaweza kuweka beat yani ukalekodi ukiwa unaenda na beat
Sijui kama itakufaa hii mkuu
Nenda play store Search Sing play ila ina mapungufu machache

Bango
 
Mm Mtoto alinifutia gallary vitu vyote nilivyo tumiwa kwa whatsapp,nifanyeje nivipate tena
Jaribu APP ya RECOVER FILE ipo play store ina rangi ya kijani na nembo YA KENGE SIJUI DRAGON SIJUI MJUSI kama kajinyonga ipo powaah.
 
Iko vizuri hii app nimeipenda hivi hakuna na maujanja yanayoweza fanyika mtu ukaweza kuweka beat yani ukalekodi ukiwa unaenda na beat

Just for practice tu mkuu.

Tumia lappy au simu nyingine kugonga beat huku ukiwa una-rekodi simu itadaka beat na sauti yako.

Just for practice tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…