Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba link ya hii app mkuu maana playstore inauzwa.

Well, kama ukiingia Play store ukakuta App inauzwa huwezi kuichukua mpaka ulipie tumia App inaitwa Blackmart ila nayo haipatikani Play store.

Kwa kutumia App hii utaweza ku-download App zote zinazolipiwa Play store kwa App hii utaweza kupakua tu bila tatizo hata kama yauzwa.

Link :

Blackmart_Alpha.apk

 
Kuficha baadhi ya text, mie natumia GO-SMS.Ipo play store.
 
Jamani mimi natumia tecno W4
Je nikiroot hii sim kuna kitu applications gani nazikosa Kwa kuwa tu sim haijawa rooted?
 
Hivi wakuu ni kwa nini nyimbo ambazo YOUTUBE. hawakubali zinadownloadiwe ukienda YOUTUBE katika VIDMATE inakubali?
 
Wakuu natafuta hyo app ya remote control dvd au universal inayosauppt dvd na king'amuzi
 
Wakuu naombeni msaada wa haraka cm yangu nime root ss majanga yaliyopo kila app lock ninayoweka haifungi cm yangu yaani hapa cina amani kabisa msaada kwenye tuta nimekwamaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…