Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Simu yangu haiconect WhatsApp inasema network error lakini web zingine nafungua nimeclear data lakini hakuna tofauti
@hanspol
hata mimi hilo tatizo lishawahi kunikuta nilichofanya ni kudowload application nyingine play store then ikawa fresh
 
simu yangu ipo rooted na apps za lucky na busy ninazo maelekezo kidodo nafanyaje hapo kuifanya premium
Wewe fungua tu lucky patcher kisha tafuta hiyo go sms kisha long press itakuja menu ina vipengele mabali mbali kikiwemo na hicho cha kuifanya iwe premium

Hatua kwa picha

Long press gosms hadi ije menu hii

Chagua custom patch

Chagua hiyo option ya kwanza au ya juu

Chagua Apply kisha subiri ikimaliza funga lucky patcher kisha ka open hiyo gosms.
 
Ubarikiwe bro ngoja nifanye hivyo nitaleta mrejesho
 
Hivi kweli kuna app ya kuongeza ukubwa wa nafasi ya simu yangu?
Simu yangu ni huawai G play mini ya 4G na cd ni 4G nataka ukubwa zaidi. Msaada tafadhali wapendwa
 
Kuna namna yoyote ya kupakua vitu kutoka ustreem kwa simu?
 
Hivi kweli kuna app ya kuongeza ukubwa wa nafasi ya simu yangu?
Simu yangu ni huawai G play mini ya 4G na cd ni 4G nataka ukubwa zaidi. Msaada tafadhali wapendwa
Mkuu binafsi najaribu kukuelewa lakini sikupati.
 
Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
Heeee?! Big up mkuu, hii app noumer sanaa,.
 
Ila kama hutaki ku root simu yako na bado unataka kuzuia ads just downloa DNS66
 
Mkuu nimefata njia zote hizi nikitaka nova laucher ije kuwa nova laucher prime lakin baada ya kumaliza iyo process naona bado iko vile vile tu
 
Mkuu nimefata njia zote hizi nikitaka nova laucher ije kuwa nova laucher prime lakin baada ya kumaliza iyo process naona bado iko vile vile tu
Si kila app inachakachuliwa kwa njia hiyo, zingine unakuta security yake ni kubwa, hadi trick nyingine...
Hiyo niliitoa kwa huyo alie taka gosms iwe premium.
 
Ila mbona mm nimejaribu imekubali mkuu

Long press hiyo nova launcher kisha chagua custom patch

Chagua hiyo inayo anza na JASI hiyo ya mwanzo kisha apply

NB hakikisha busy box ipo active
 
Ila mbona mm nimejaribu imekubali mkuu

Long press hiyo nova launcher kisha chagua custom patch

Chagua hiyo inayo anza na JASI hiyo ya mwanzo kisha apply

NB hakikisha busy box ipo active
Mkuu me kwangu nimejarbu pia imegoma pia sijaelewa hio busy box ni ipi Nieleweshe apo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…