Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ila mbona mm nimejaribu imekubali mkuu

Long press hiyo nova launcher kisha chagua custom patch

Chagua hiyo inayo anza na JASI hiyo ya mwanzo kisha apply

NB hakikisha busy box ipo active
Mmh au busy boxy yangu ni tofauti na yako
 
Mkuu me kwangu nimejarbu pia imegoma pia sijaelewa hio busy box ni ipi Nieleweshe apo mkuu
Kama simu yako una lucky patcher lazima pia uwe na app inaitwa busy box, (ROOT NEEDED) Namaanisha simu iwe rooted pia.
 
Dah hiyo poweramp nimeingia playstore kumbe inauzwa jamani msaada Sumsang A5 adroid 6
 
Rabii90 pole ndugu yangu! Nilikuwa na shida kama yako, nili-root kasimu kangu na kufuata maelekezo ya kuchakachua lakini 14 days inadai!!! Niliamua kuinunua. About TSHS. 10,000 tu uifurahie. It is the best player.
 
Kwaajili ya kublock Ads au matangazo ukiwa kwenye internet
But only kwa simu za samsung
Ads ni nini?
Rabii90 pole ndugu yangu! Nilikuwa na shida kama yako, nili-root kasimu kangu na kufuata maelekezo ya kuchakachua lakini 14 days inadai!!! Niliamua kuinunua. About TSHS. 10,000 tu uifurahie. It is the best player.
 
Rabii90 pole ndugu yangu! Nilikuwa na shida kama yako, nili-root kasimu kangu na kufuata maelekezo ya kuchakachua lakini 14 days inadai!!! Niliamua kuinunua. About TSHS. 10,000 tu uifurahie. It is the best player.
Poweramp tangu niichakuchue haijawahi dai ninunue hadi nilisha sahau...
Labda wewe ulikosea tu kuichakachua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…