J8 yako ilikuwa inapata OTA yani version update kutoka kwa manufacture?Nmejarbu kufwata njia zote za kuroot kwa kutumia kingoroot na king root ila sijafanimiwa. Nataka kuroot tecno j8, kuna njia nyngine?
Mkuu lugha hii umetumia translator ama maana sijakuelewa.Mimi kununua mpya ya simu za Android, lakini siwezi kucheza video kupakuliwa kutoka youtube, na baadaye alipata video format ni avi, nilipata makala AVI Android, lakini inaonekana kuwa na programu hii bila simu yangu mfano, hakuna ambao wanaweza kunipatia ushauri😛Mshukuru
Tecno w4Simu aina gani hiyo mkuu?
Haipo play store rudi mwanzo wa thread kuna linkMsahada hiyo mobdro naipataje, playstore hamna na hiyo mliyotuma mwanzo kwangu haifunguki
Hii unafanya je mkuu?Kuna hii app Link2sd ichekini pia ni nzuri sana .
Kama jina linavyojieleza ni link to SD. Hii inamaanishasha uweza iongezea internal phone memory kwa kutumia some of SD card memory.
Kwa mfano kama una memory card ya GB 32.
GB 16 unaweza kuzi link zikatumika kama internal memory na 16 zinazobakia zikatumika kwenye external. Simu inakuwa na kasi ya ajabu ukiwa na internal memory kubwa
Okay ukijaribu ku google zina kuja rom ngapi za hiyo w4? Maana yawezekana ipo toleo mija tu, au mawili ni wewe kuangalia kwanza online, zikikosekana kabisa basi ingia hapaTecno w4
Nenda google ktk browser yako ya internet kisha andika mobdro.apkMsahada hiyo mobdro naipataje, playstore hamna na hiyo mliyotuma mwanzo kwangu haifunguki
Znakuja ROM 4 na nimeshajaribu mbili ila zote zmegoma...natanguliza shukranOkay ukijaribu ku google zina kuja rom ngapi za hiyo w4? Maana yawezekana ipo toleo mija tu, au mawili ni wewe kuangalia kwanza online, zikikosekana kabisa basi ingia hapa
How to get the Build Number of a bricked Mediatek (MTK) Android phone
Ads(Advertisements) =matangazoAds ni nini?
Utakuwa umedowload apps nyingi kushinda uwezo was simu jaribu kuondoa baadhi ya apps usizozitumiamsaada cm Yangu nzito ktk kutatype then inahelewa kuketa option pind napohama ktk option 1 had nyingne napotype heruf znachekewa kujiandika ama naweza bonyeza k ikaandk herf nyingne tu natumia huawei 360,naomben msaada
easy filter Ipo playstoreHivi app gan nzuri ya kunblock mtu asipge wala kutuma text
WPS office ukijiregister kuna hiyo option ya kuedit pdfnaomba kujua ni vipi naweza ku edit document nilizoweka katika PDF
hautaki kupata msg wakati umewasha data na unatumia apps nyingine zinazotumia data kama instagram,browser n.kAnayejua namna ya kustopisha whassapp kwa mda bila ku uninstall. Na bado ukaendelea na mengne kwa internet
aiseee hiyo ya tigo nimejaribu ila haileti notification kabisacall blocker ina rangi flani nyekundu ni hatar chek playstore au kama unatumia tigo piga *35*0000# hapo ukipigiwa hupatikani ila meseji itaingia na weww una weza kuwapigia na kutext data pia kama kawa, kujitoa #35*0000#
Ingia kwenye 'settings' kwenye simu yako. Kisha, tafuta sehemu yenye orodha ya apps yako na ibonyeze 'whatsapp' na bonyeza tena 'disable'. Ukitaka kutumia tena utafuata mlolongo huo na bonyeza 'enable'.Anayejua namna ya kustopisha whassapp kwa mda bila ku uninstall. Na bado ukaendelea na mengne kwa internet