Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

.
Nikifanya updates zipi ndio imelula kwangu? Mbona ujumbe wa kutisha huu? Laki tano ya simu nyingine hiki kipindi cha Magu ni mtihani mzito
 
Nard hk tena naomba msaada sam huawei 360 , inatabia ya ku sleep kila wakat. Napofungua kitu chochote pia huchelewa sana kutokea ktk screen, inaboa sana hta nakosa radha ya kutumia smart, ila internal space haijajaa shda nn? Pia inachemka sana
Majib tafadhi nisaidieni hil
.
Nikifanya updates zipi ndio imelula kwangu? Mbona ujumbe wa kutisha huu? Laki tano ya simu nyingine hiki kipindi cha Magu ni mtihani mzito
 
Wakuu msaada wenu tafadhari nimedownload supersu ila luck patcher haimove app to sdcard inanipa msg hizi simu yangu tecno j8 niliiroot kwa kingroot
 
Inaitwaje hiyo app
 
Jins gan naweza kuhuck namba ya mtu nikaona mawasiliano yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…