Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu nimefata njia zote kuistall hiyo kitu, nashangaa sijaona option ya kuingiza namba ya mtu umtakae naona text zangu na notification zangu tu nisahihishe nimekosea wapi? naingiza vipi account ya huyo mlengwa?
 
Hyo app una install kwenye simu ya mlengwa na sio kwenye simu yako, kupata information zake wakati umeinstall hyo app kwenye simu ya mlengwa utatakiwa ufanye registration, hapo utaweka email yako na password halafu kwa kutumia simu yako ili upate mawasiliano anayoyafanya mlengwa itabidi uingie kwenye hyo website ya mobile tracker, u log in kwa kutumia ile email ambayo ulifanya nayo registration kwenye simu ya mlengwa pamoja na password ile ile

So ww hupaswi kuwa na hyo app cuz you don't track you own foot steps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…