Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Jamani nina shida ya ads kutokea kwenye simu yangu kila mara hadi imekuwa kero..naomba mwenye msaada w kuondoa ads totally...
 
Airtime Scanner – Applications Android sur Google Play

Tumia hiyo App kuingiza voucher baada ya kukwangua.

1. Fungua App kisha fuata maelekezo ya setting.
2. Kwangua vocha kisha weka nyuma ya camera ya sim, app ita scan zile namba.
3. Ingiza kiasi cha vocha mfano 500, au 1000 nk kisha ok.
Utajibiwa kuwa umeongeza kias kadhaa salio lako ni kiasi kadhaa.
 
Safi hii inanifaa mimi mvivu wa kuingiza vocha aiseee acha nikaichungulie
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…