Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kingroot ina ishia lollipop, marshmallow na Naught king root inachemka.
 
Asante
 
Je vp kuhusu vitu vyangu vilivyomo havitafutika au kupotea!?
 
Kwa hiyo malipo ni kwa mwezi mimi nilifikili kwamba ukishalipia tayari wanakutumia code na unatumia bila mipaka ya muda
 
Congr brother[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…