Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
Uliwahi kufanya bacbup? Tuanze na hapo kwanza
 
Ni latest version mkuu
Fanya hivi ingia hapo hapo kwenye lucky patcher kisha gusa vidoti vitatu hapo juu upannde wa kulia kisha italeta options mbili ambazo ni (download custom patches,settings) gusa download custom patches kisha itaanza kudownload halafu ikimaliza jaribu tena
 
Wanajukwaa

Call recorder app gani nzuri??
Naombeni msaada wenu na kama una link ingekuwa fresh zaidi ukitupia hapa

Natanguliza shukran zangu

Cc hans pol
 
Wanajukwaa

Call recorder app gani nzuri??
Naombeni msaada wenu na kama una link ingekuwa fresh zaidi ukitupia hapa

Natanguliza shukran zangu

Cc hans pol
Mkuu unatumia simu yenye android version gani?
Maana kuanzia lollipop huwa zina tabia ya ku stop app zinazo run muda wote so kuna muda ina weza i record calls kuna muda isi record

Aptoide - Android Apps Store
 
Android version 6.0 nimejaribu nyingi za playstore naona zinarecord mara zinaacha yaan hazipo consistent

Naomba unayodhan ni bora na yenye consistency nzuri
 
Uliwahi kufanya bacbup? Tuanze na hapo kwanza
Kufanya backup ni kufanyaje mkuu? Nakumbuka wakati nabadili simu kuna jamaa mmoja alininyonya meseji zangu za whatsap, media na photos zilizokuwa kwenye simu ya awali zikaingia ndani ya simu hii mpya. Hii ndio backup mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…