Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

 
Wadau naweza kurudisha simu nilio root ikarudi kama zamani na nikapata update?
Natumia HUAWEI P8 MAX
 
Wakuu habar za muda huuu
Mm nimeibiwa sim SAMSUNG J7(2016)
Ime nazijuwa kuna uwezekano wa kuipata
Kama upo nitumie njia gani ?
 
Mkuu nichek pm
 
Nidawnload antivirus ipi iyakayo nisaidia CM yangu isipatwe Na virus
 
Nenda play store down load psp emulator

Zen download game za psp zilizo ktk mtindo wa zip

Zen una unzip unakula game kiulaini za psp
katika kupitia huu uzi hii kitu nimeipenda sana mkuu nimedownload psp emulator ya kwanza kabisa play store sema issue ni wapi nitapata hizo game na jinsi gani nitaziunzip na connection yao ipoje na psp emulator tiririka kidogo mkuu unipe maunjuzi
 
Wakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.

Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
 
ili kutumia app za playstore kwenye pc unatakiwa udownload simlator kama bluestack etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…