Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu naomba kuuliza, KUNA MERIDIANBET ANDROID APP???? Kama ipo naomba link yake ni download kwangu
 
C mpk ulipie ndo unapata huduma zake?
NDIO
Jinsi ya kulipia
----------------
Angalia hapo mbele kwenye tHL app kuna mahali pameandikwa Jinsi ya kulipia bonyeza mpesa, tigopesa au airtel money. Ukibonyeza mtandao mmojawapo utaona step by step namna ya kulipia. Baada ya hapo unalipia 2000/= kwa mwezi, 5000/= kwa miezi 3, 7000/= kwa miezi 6 na 12,000/= kwa mwaka.
Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo
 
Mkuu hebu fafanua kidogo nimedownload tor browser lakini naona kama ina mmbo yako tofauti msaada wako plz
 
Vip siwezi kupata link ya website ya kudownload philipino series zilizotafsiriwa English moja kwa moja kama zile wanazoonyesha star tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…