Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ipo play store?
hiyo channel inaitwaje....
 
Vip aki formart simu kabla ya kuitumia utaweza pata information yoyote
 
Hiyo ni shughuli pevu mkuu...
Angalia playstore app inayo uzwa, kisha ingia aptoide search kwa jina utaipata na wakati wa ku search mwisho weka prime au pro

Mkuu, mbona FL Studio mobile haipo kwenye aptoide kiongozi au nakosea wapi labda.
 
Appyhider naye iko vzur tu mm ndo ninayoitumia halfu uzur wake unaweka na ulnz kweny hzo app ambazo umezificha ili MTU mwingine asiweze kufungua

Hii Appyhider ina uwezo wa kuficha apps nyingine pamoja na kuificha yenyewe mkuu...?

Au inaficha apps nyingine tu yenyewe haiwezi kuji-hide nipe ufafanuzi kiasi.

Thanks.
 
FL sijawahi kuitumia hiyo App may be jaribu google andika FL studio.apk

Yah, ila ni kwamba play store ipo na pia ni ya kulipia ila naona aptoide haipo.

Au aptoide kuna baadhi ya apps huwezi kuzipata mpaka play store tu...?

Curious to know bro.
 
Yah, ila ni kwamba play store ipo na pia ni ya kulipia ila naona aptoide haipo.

Au aptoide kuna baadhi ya apps huwezi kuzipata mpaka play store tu...?

Curious to know bro.
Jaribu maelezo ya mdau hapo juu...
 
Reactions: M12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…