Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Instagram plus inafungukaje ??
 
kwa nini isianzishwe whatsapp group kwa ajili ya kupeana updates za best android apps
Hilo group lingeanzishwa siku ambayo muanzisha hii mada april 2016 amepost hadi leo mjadala wa app zote zilizo jadiliwa upo na unaendelea. umejiunga jf novemba 2017 umeikata. Je ingekuwa ni huko whatsapp ungezikuta?
 
Hilo group lingeanzishwa siku ambayo muanzisha hii mada amepost hadi leo mjadala wa app zote zilizo jadiliwa umeikata. Je ingekuwa ni huko whatsapp ungezikuta?
ok mr hans pol ila why asicreate alafu aanze tena plizzz
 
Gusa zile dot 3 upande wako Wa kulia kwenye pic, au video husika unayotaka Ku download, pia double tach ku zoom pic
Mkuu sana haijanipa bado option ya kudownload zaidi nimeona option ya copy link.

Msaada kwa njia ya picha kama itafaa.
 
Hii Instagram plus nimeipenda kwa kusikia namna inavyo operate lakini bado cjapata ufafanuzi nawezaje kudownload video.

Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…