Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

jamani nashindwa kudownload application kutoka play store
inaniandikia VERIFIED BY PLAY PROTECT
msaada please
Utakuwa umerestrict background data
Kama unatumia Samsung nenda setting>>data usage >options>disable>OK
 
Msaada waungwana nimedownload mobdro lakini hizo mechi naziona sema nikiweka screen mirror niangalie kwenye TV inakuwa sio HD picha hazina ubora kabisa. Msaada kama kuna anayejua link ya mobdro yenye picha zinazong'aa
 
Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
Mkuu nijibu nina simu Samsung Galaxy J7 Prime na TV pia samsung smart shida sioni HD picha nikiconnect mobdro kwenye TV. Msaada pls. Au nimedownload wrong APK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…