Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kiongozi ile app yako ya kuweka vocha, vocha master kama sikosei mbona haifanyi kazi tena natumia redmi note 8T ila ni majanga nifanyaje niweze kuipata.
Ndiyo ni app yangu ni vocha ya sh ngapi na mtandao gani inagoma? Pia kama utaweza weka napicha yake hapa nione namba hzo. Iliyotumika nahitaji
 
Ndiyo ni app yangu ni vocha ya sh ngapi na mtandao gani inagoma? Pia kama utaweza weka napicha yake hapa nione namba hzo. Iliyotumika nahitaji
Nilijaribu voda zilikua za jero jero nikaona zimegoma nishazitupa mkuu, yaani inaload tu bila mafanikio
 
App imeboreshwa
Sasa unaweza kusikiliza sauti za kitabu kizima cha Biblia hata kama app itakua imefungwa. (Listen in the background)

Pia unaweza kupakua (Download) sauti za kitabu kizima na baada ya kupakua unaweza kusikiliza muda wowote bila intaneti.

Ingia playstore na tafuta "Biblia Takatifu na Sauti" ili kuipakua app hii, au bofya kiungo hiki Biblia Takatifu na Sauti - Swahili audio Bible - Apps on Google Play

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Natafuta app ya biblia iliyo na kiswahili na kiingereza kwa pamoja ambayo inatoa nafasi ya kuswitch kiingereza au kiswahili
 
Mmh,,
 
[emoji1666]
 
Naomba app yenye uwezo wa ku reconnect automatically pindi unapo dawnload mfano una dawnload video network ikakata ghafla pale inapo rudi, ile dawnload process iendee.
 
Wakuu habari ya mihangaiko, kwa wanao jua ramani, wanisaidie natafuta ramani inayoonesha pale ambapo nipo, kama kuna mtu anatembea ioneshe kivuli chake pia mpaka nyumba ioneshe.Nimeitafta sana bila mafanikio ila kuna kipindi kimoja rafiki yangu alikuwa anaitumia ndo sikumbuki ilikuwa inaitwaje, kwa anae jua anisaidie.Natanguliza shukrani sangu za dhati kuwa tatizo langu litapatiwa ufumbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…