Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu habari za mda.naonamba anayefaham app inayorecord sauti ya kitu halafu inakuletea full information ya hicho ulichokirecord.mf.kama huufaham wimbo flan unaweza rocord,ndani ya mda mfupi inakujuza wimbo wa nani na video yake kama unataka
Shazam
 
Musixmatch

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari za mda.naonamba anayefaham app inayorecord sauti ya kitu halafu inakuletea full information ya hicho ulichokirecord.mf.kama huufaham wimbo flan unaweza rocord,ndani ya mda mfupi inakujuza wimbo wa nani na video yake kama unataka
Shazam, Soundhoud na kuna nyingine nimeisahau jina tu..
 
Baadhi ya app zangu nlizotengeneza. Zinapatikana play storeView attachment 1716345
Hongera sana mkuu Robert Londo! Nakufahamu na nina bahati ya kukutana nawewe maeneo ya kazi flani Mbeya ila ww huwezi kunifahamu wala kunikumbuka hata kidogo japokua tulikua maeneo ya kazi kwa almost 2 weeks! [emoji23]

Nilikujua kupitia app yako ya Vocha Master, Kuna mtu ulikua unamwelekeza namna ya ku top-up na hiyo app na ulikua karibu angu kuna maneno uliongea pale automatically nikatambua kua ni wewe ndo developer na jina nikaamua kuthibitisha computer uliyokua unatumia pale job kweli ulikua niww...!
 
Wakuu habari za hapa jukwaani.
Naomba msaada wa ku- download apps za kulipia bure.
Sijawahi kufanikiwa kupata hii kitu ingawa nimesikia story nyingi tuu za uwezekano wa kula bila kukaribishwa
Tumia hii ipo google --AC MARKET & HAPPYMOD
 
Google translate

Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
 
Sure ni mimi [emoji1787][emoji1787]
 
Msaada namna ya kuunganisha na Tv mkuu
 
Karibuni tucheze Call of Duty mobile, mchezo utaanza saa 11 kamili jioni hii kwa masaa ya kibongo so kama utakuwa tayari click link hapo uweze kufanya Registration ya kujiunga hapo wadau. Angalau dk 20 kabla ya mchezo kuanza uingie kwenye link u'confirm uwepo wako, Karibuni Tuburudike Call of Duty Battle Royale ndo habari ya Mjini [emoji56]

View attachment 1748403View attachment 1748404
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…