Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mzee wangu huu mzigo tunaungoja kwa hami
 
Natafuta ubuntu Os ya simu ambayo ipo cracked haichagui aina ya simu..,.!
 
Naomba app ya camera itakayonipa picha nzuri sana itakayoweza kufanya kazi kwenye simu zetu za tecno.
Mm natumia tecno POP 5 pro ya 4G ila hainipi picha mzuri.
 
Wadau kwemaa,
Naomba kujuzwa app ipi ambayo itanifanya kupata password za public wifi
 
Ni app gani unatumia ili uwe na maandishi ya muundo tofauti katika mitandao ya social media hasa wasap na mengineyo...???
 
App gan nzuri ya ku translate english text to swahili audio. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…