Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

"Feedly" ipo playstore , kama ni mvivu wa kutembelea website nyingi , unacho Fanya una add link ya websites inazopenda kwenye hiyo app, halafu inakuwa inakuletea habari mpya kila wakati.

Angalia screen shot hapo chini.

Feedly zipo nyingi, ni ipi hasa unayoongelea? Nimeenda playstore sijajua nidownload ipi!
 
"Feedly" ipo playstore , kama ni mvivu wa kutembelea website nyingi , unacho Fanya una add link ya websites inazopenda kwenye hiyo app, halafu inakuwa inakuletea habari mpya kila wakati.

Angalia screen shot hapo chini.

Mkuu ikiwezeka eka link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…