Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu hii mbona ina search wifi zilizo mbali tuuuu
 
Hivi wakuu hamna jinsi naweza fanya nikatumia namba mbili kwa w'app ktk simu moja,naomba kama inawezekana na kuna mtu anaejua anielekeze.
 
Shukran mkuu @ Charles @ kikoti ngoja niifanyie kazi nikifail ntarudi kwa maelekezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…