Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Simu Yangu Inaweza Fanya Hivyo Bila App.
 
Mkuu iyo power amp uliinunuaje maana kule playstore napata trial version ku purchase nashindwa
 



TinyTunes

Very Good App
Unataka kudownload nyimbo especially nyimbo za mbele..

utaona
ITune Top songs
ITune new released
ITune Top Albums
Billboards 100 etc.

Pia unaweza kuona sehemu ya search, una search nyimbo unayo taka then utaona sehemu ya play
So unaweza kuplay wimbo bila kuudownload ukisha jua ndo wimbo unaoutaka then una Download..
It's very good App.. Binafsi sijawahi kukosa nyimbo kwenye hii app hadi nikitaka album hapa naipata..

Note.. Nyimbo za Bongo zinapatikana bt sio zote..

Hii App haipo playstore..
U can download here

http://goo.gl/NK9IlW :
 





Dumpster
Hii ni application ambayo inafanya kazi kama recycle bin kwenye your mac, linux or windows desktop computers..

Je uli dele kitu kwa bahati mbaya bila kukusudia..
Uki delete utavikuta kwenye Dumpster..
Uki delete images, videos , audio, pdf, zip, mp3, mp4, ppt, doc, avi, mpg, jpg, rar etc...
Ukiingia kwenye Dumpster utakuta kile kitu ulicho delete na ku recovery..

Hii App haiitaji rooting access wala Internet..

Sometimes naweza kusema inafanya kazi kama backup App.
Why?
Kwa sababu unaweza kufanya kama ndo privacy App ya kuficha vitu vyako.. Uka videlete vitu makusudi then vikawa vinakaa huko.. Ukivihitaji una recover tuu.
Unaweza kudownload Dumpster kutoka playstore..

Dumpster _ The freedom to make mistakes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…