Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Msaada naomba kuelekezwa jinsi ya kupta channel za kitanzania mobdro make naona za nje tu
 
Msaada naomba kuelekezwa jinsi ya kupta channel za kitanzania mobdro make naona za nje tu
 
Nikielekea kwenye opyion ya aap sion sehem ya kuweka kodi
 
App locker gani ninzur kwa android inayosaidia kuhide picha na video?
 
Mobilfreetracker.comacker="Riz Tha God, post: 17473864, member: 378870"]JAMANI MBONA MSAADA WA APP ITAYOWEZA KU TRACK SMS NA CALLS ZOTE ZA WATU WANGU KATKA PHONE YANGU SIPEWI WADAU MWISHO NAPEWA MINANGO TU! MAPIGO YA MOYO KWA NI CONSTANT DIFFERENTIATED SO JUST GIMME THAT APP[/QUOTE]
Www.Mobilefreetracker.con
Kama sijakosea web ukiingia utaikuta unaidownload na kuinstall.
Mobilefreetracker
 
Www.Mobilefreetracker.con
Kama sijakosea web ukiingia utaikuta unaidownload na kuinstall.
Mobilefreetracker[/QUOTE]
Hiyo inafanya kazi ila lazima uwe na Simu ya muhusika na uinstall kwenye Simu ya muhisika kama huna huwezi fanikiwa!
 
Nimeipenda sana hii gb whatsapp iko vizur na sana
 
Nimeipenda sana hii gb whatsapp iko vizur na sana
Poa mkuu! Ila watakapokuletea update utakubali then utaenda kwenye page yao hapo utakuta maandishi ya kiarabu utashuka chini hadi button ya kwanza ilioandikwa maandishi ya kiarabu na kiingereza utabofya then utaenda page ambayo itakuonyesha download link.
 
Poa poa mkuu nishaaanza kuitumia ni nzuri mno
 
Me natumi KEEPSAFE kaz ya app hii na faida yake ni kuifadhi picha ukidowload unaikingia kwa kutumia email na password inaifadhi picha ata simu yko ikipotea na pale utaponunua simu nyngne basi picha zako utazikuta pamoja na videos na documents nyngne unazotaka kuifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…