Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============

Kiboko ya App zote ni NoDeath Day, ukiwa nayo unajipangia tareh ya kufa muhm cm isitoke mfukon wala mkonon inabd uwe nayo muda wote

Ntaweka link nkpata muda
 
Inamaana hakuna msaada hapa???
Msaada upo bwana.. ni rahisi tu.. ingia play store download apps ya (inoty) hii apps itafanya simu yako ionekane katika Hali ya iPhone Kwa upande wa taskbar tu.. kama halotel yako ni laini ya pili bac ifanye iwe home line Na baada ya kuinstall hiyo apps itajiandika hapo na Adi mnala utaona hapo
 
Mkuu we ni genius, [emoji109] [emoji109]
 
Naombeni jinsi ya kupata notification jf kama mtu ameniquote au amelike comment yangu mwanzoni niliku napata sa hv sipati msaada please
 
Tecno/iphone yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vault ni kiboko.
Ni kweli mkuu. Binafsi nimetumia kwa miaka miwili sasa. Ni kiboko haswaaaaaaaa. Kuazia picha, video, call log mpaka sms. Simu iache popote, mwachie yeyote, mwache apekue pekue apendavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…