Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

nasikiaga kuna application ya kutrack mesej au call za mtu wako wa karibu, yaan km anatumiwa/kutuma mesej lazma na kwako ifike, kuna mtu anahifaham?
 
nasikiaga kuna application ya kutrack mesej au call za mtu wako wa karibu, yaan km anatumiwa/kutuma mesej lazma na kwako ifike, kuna mtu anahifaham?
Hazifiki kwako zinatumwa kwenye email ambayo utakuwa umeiweka kwenye hiyo app.
So wewe unacho kifanya ni ku login kwenye hiyo email na kuangalia text alizotuma na kutumiwa...ila haifanyi kazi 100%. Kwasababu endapo atawasiliana na mtu ikiwa amezima internet taarifa hazitumwi.
 
Wadau kuna kitu me sijui Kulekebisha yani yan simu ukiwasha data haisomi haionekani kamA imewaka
 
Ukifungua acces point names utaona triple dots (kutegemea na simu) simu zingine unatumia zile button za chini tap hapo itakuja New APN then tap andika NAME: Vodacom Tanzania,APN: Internet then tap tena hizo triple dots utaona neno save....save haPo washa data hope itakubaRi
 
Hakuna group la whatsap, naona mnatuma tu namba, hapa hapa mnapata kila kitu applications za simu tu mnataka group au kuna dhamira nyingine
Nahisi group lililo anzishwa ni la kitapeli maana linabagua watu wa kuunganishwa nalo, bora tu nibaki hapa kufaidi maujanja
 
Kwa wale wa ku stream tv
Direct link
http://store.mdcgate.com/market/app_detail/downloadApp?appID=22&platformID=6

Fungua hapo kisha dawnload hiyo App na install
Ifungue nenda sehemu ya search andika
Azamone
Azamtwo
azam hd
Andika kama nilivyo andika hapo kisha search na select jina la channel uliyo tafuta utaona neno play bofya hapo then enjoy.

Kwa local chanel
Tbc
Channel ten
Zbc nk
Dawnload Simu.tv
Other channel tumia mobdro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…