BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Wadau wa magari mazuri, kuna hizi kampuni nazihusudu sana ambazo ni
√ Audi
√ Lexus
√ Land Rover
Je, kati ya mojawapo hapo, ipi ni gari Kali ya kufanya nayo matembezi ya hapa na pale safari fupi fupi za mjini, na version ipi au ya mwaka gani? Na ningependelea pengine mwaka 2018 hadi sasa ...!