BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
You must be ashamed of yourself! Disgrace to the Nation with that type of shit inside your head!Onesha bank statement yako kwanza ndio tuweze kukushauri! Usije ukawa juu ya gunia la mkaa mabibo hapo kisha unataka kuleta usumbufu tu[emoji16]
Onesha bank statement yako kwanza ndio tuweze kukushauri! Usije ukawa juu ya gunia la mkaa mabibo hapo kisha unataka kuleta usumbufu tu[emoji16]
Amna aliekudharau, nataka nionee miamala ya hapa na pale ili tuweze kwenda sawa 😁Mkuu usidharau ID kuna watu humu wana Pesa Umbwa haruki[emoji16][emoji16]
Amna aliekudharau, nataka nionee miamala ya hapa na pale ili tuweze kwenda sawa [emoji16]
Kisa kagusa gas ya Mtwara au?You must be ashamed of yourself! Disgrace to the Nation with that type of shit inside your head!
Eti kuanzia mwaka 2018 dah!😀😀😀Onesha bank statement yako kwanza ndio tuweze kukushauri! Usije ukawa juu ya gunia la mkaa mabibo hapo kisha unataka kuleta usumbufu tu😁
Hahaha...Mtoa mada kampuni hizo zote hakuna gari ya maana,ni utopolo.[emoji854]
Safiii..Katika hiyo list i will go for land rover. Napenda vitu vigumu gumu[emoji28][emoji28] off road huko
Ngoja ni Google ..niione mkuuChukuua RANGE ROVER VELAR ya 2018 mkuu, itakupendeza
Sawa BilioneaPATIGOONgoja ni Google ..niione mkuu
Wadau wa magari mazuri, kuna hizi kampuni nazihusudu sana ambazo ni
√ Audi
√ Lexus
√ Land Rover
Je, kati ya mojawapo hapo, ipi ni gari Kali ya kufanya nayo matembezi ya hapa na pale safari fupi fupi za mjini, na version ipi au ya mwaka gani? Na ningependelea pengine mwaka 2018 hadi sasa ...!
Wadau wa magari mazuri, kuna hizi kampuni nazihusudu sana ambazo ni
√ Audi
√ Lexus
√ Land Rover
Je, kati ya mojawapo hapo, ipi ni gari Kali ya kufanya nayo matembezi ya hapa na pale safari fupi fupi za mjini, na version ipi au ya mwaka gani? Na ningependelea pengine mwaka 2018 hadi sasa ...!