Tushirikishe wazo lako la biashara kama linalipa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Watu wengi wana mawazo mazuri ya biashara, lakini changamoto ni mitaji; wapo wengine wana wazo ambalo ukilipima unaona kweli ukiwekeza kuna faida mbeleni. Na wapo wenye mitaji lakini hawana mawazo ya biashara ila wanatamani wafanye biashara. Wazo likiwa ni laki-ujuzi itakuwa ni bora zaidi,kwa sababu litachochea kwenye utengenezaji wa bidhaa na si uchuuzi:-
Mfano:-
  • Labda wewe ni mtaalamu wa meno huna kazi ila una wazo na uko tayari mtu afungue clinic yake akuajiri.
  • Labda wewe unaujuzi wa kuvundika vyakula na uko tayari kuajiriwa iwapo mtu atawekeza kwenye wazo lako
  • Labda wewe ni fundi nguo/viatu n.k una wazo na uko tayari kuajiriwa na yule atakayewekeza kwenye wazo lako
  • Labda wewe ni fundi magari unawazo ambalo mtu akiwekeza utakuwa uko tayari akuajiri n.k
Itakuwa ni vizuri zaidi, upambanue wazo lako vizuri pamoja na makisio ya uwekezaji ili wenye nia waweze kujadili. Tufunguke zaidi, kwa sababu wazo likiwa kwenye makaratasi bila kutekelezwa linakuwa halina maana. Pia katika kuwasilisha wazo lako ni vizuri kuzingatia kundi la mtaji hapa chini:-
  • A. Tsh. 1000 - 99,000
  • B. Tsh. 100,000 - 500,000
  • C. Tsh. 510,000- 999,000
  • D. Tsh. 1,000,000- 5,000,000
  • E. Tsh. 5,100,000-10,000,000
  • F. Tsh. 10,000,000+
 
DUNDA

Tunahitaji $2M kama Pre- Seed Investment with exchange equity ya 12% ya kutengeneza (DUNDA) App kwa ajili ya ku compete na Boomplay kwa soko la Africa wasanii mbalimbali wa Africa

Wasanii mbalimbali wa Africa wanaweza upload nyimbo zao kwenye app hiyo na mashabiki wao ku stream

Kampuni itasajiliwa Marekani jimbo la Delaware na itakuwa na ofisi San Fransisco silicon Valley, lakini pia kampuni itafunguliwa hapa nchini kwa MVP

San Francisco itakuwa ni development center HQ ya platform hii

Dar Es sallam patakuwa ni Global sales kwa maana kufanya B2B na wasanii wa Africa kujiunga na ku list nyimbo zao, lakini pia itakuwa sales kwa B2C kwa mashabiki mbalimbali ku stream nyimbo za wasanii mbalimbali

Vile vile watangazaji wanaweza fungua account zao kwa ajili ya Kuweka podcast mbalimbali kwa ajili ya watu kuwasikiliza

Wateja wetu ni wa aina mbili

1) wasanii wa Africa
2) waafrica na diaspora

$4M itatumika kama ifuatavyo

Mshahara wa UX/UI designer per year $122,000

Mshahara wa mobile developers per year $133,000 X 3 =399,000

Senior web developer $131,010

Lead web developer $131,000

Product manager $104,986

B2B account manager $85,447

Sales manager $147,000

Marketing lead $76,428

Business Intelligence $130,152

Digital marketer $128,375

Finance manager $155,307

Customer representative $72,075

Tunajua rent ya San Francisco ni ya juu sana kwa Marekani tutatumia Wework platform ambayo ni co working ambapo kwa mwezi ni kuanzia $12,000 per month

Hapa Dar Es Salaam rent kwa silicon Dar ni almost $3,000 per month

Platform itakuwa developed kwa muda wa miezi sita ambapo MVP ni miezi sita mingine tukitegemea wasanii 1,000 wa Tanzania watakuwa wamelist ambao baadhi yao wengi tutaingia mkataba nao wa ku release kwa kutumia platform yetu tu

Tukiwa san Francisco tutashiriki mijadala mbalimbali ya teknolojia kwa ajili ya ku pitch kwa wawekezaji ili tuweze ku rise funds zaidi na zaidi ambapo katika hili tutakuwa na mpango wa ku rise seed investment $5M , $14M series A na $50M series B respectively

Revenue

Tutakusanya mapato kwa namna mbili

1) platform yetu itakuwa ni freemium yani ni free ila kuna baadhi ya huduma ni za kulipia

2) matangazo ambapo kutakuwa na matangazo ya aina mbili

Matangazo ya makampuni makubwa Africa ambapo wanafanya kazi Africa nzima na hivyo yatasikika na watumiaji wote wa Africa hasa wale wanaotumia free account
Mfano cocacola, airtel, Emirates, Pepsi etc

Matangazo ya makampuni ya kati yaliyopo nchi moja moja kama vile nmb hawa watakuwa wanasikika kwa wasikilizaji wa nchini hiyo mfano nmb kwa Tanzania

Matangazo ya region mikoa etc kutakuwa na ALGORITHM itakayokuwa inakubali kwenye kila eneo

Price yetu kwa mwezi itakuwa $8 kwa mwaka ni $90 punguzo la $6

Mapayo yetu ni kama ifuatavyo

Year 1 $1,900,000
Year 2 $ 2,300,000
Year 3 $ 3,2000,00
Year 4 $ 5,900,000
Year 5 $ 7,200,000

Usijali kwanini investment ni kubwa kuliko mapato mfano watu watakuwa wana invest hela nyingi almost $71M lakini mpaka mwaka wa tano hatujarudisha hata robo ya uwekezaji usijali sana

Startups huwa zinacheza na valuations maana value ya startup hii baada ya ku rise $71M value yetu itakuwa ni zaidi ya $100M+

Exit strategy tutagemea baada kujenga jina kwa soko la Africa kwenye Series C kutakuwa kuna offers zitakuja toka Spotify, Apple music, pandora kwa ajili ya kununua huku tukiamini baada ya rise of series C post money valuation itakuwa $100M +

So kama uliwekeza 2M then ukawa na umiliki wa asilimia 12 kampuni ikiuzwa $100M piga hesabu ya 12% ya $100M
Screenshot_20200712-093618_Instagram.jpeg
Screenshot_20200712-095620_Chrome.jpeg
 
So kama uliwekeza 2M then ukawa na umiliki wa asilimia 12 kampuni ikiuzwa $100M piga hesabu ya 12% ya $100MView attachment 1504353View attachment 1504354
Wazo lako mkuu linaitaji uwekezaji mkubwa sana,na ni vigumu kwa mtu mmoja au taasisi zetu za kiafrika kuwekeza bila kuathiri umiliki wa wazo lako; kwa kuanza ningekushauri utengeneze menejimenti, na itakuwa vizuri zaidi hiyo team yako ya menejimenti ihusishe watu kutoka nchi mbalimbali duniani.

Mfano Tanzania 2, Usa 1, Uk 1, Kenya 1 n.k na mwanasheria aliyeiva vizuri ni muhimu kuwepo katika hiyo team. Baada ya hapo andaa business plan/proposal itume kwenye makampuni haya makubwa, mfano; Google, Youtube, Apple, vody, Appollo Global Management n.k
 
Mawazo ya biashara ni mali. Nani akupe mali kiboya tu, na unamwambia aichanganue hiyo biashara in detail?

Morogoro mapori yako kibao, ingia moja lifyeke, choma mkaa. Wote kampe RPC.
Lima bangi, kauze, kamgawie hela, mwambie nimefungua kibustani cha bangi huko porini.

Illegal business pays a lot
Kutokushirikisha wazo lako kwa wadau huku ukijua changamoto ni mtaji ni sawa na mgonjwa kutokutumia dawa huku akijua anaumwa malaria akiamini miujiza ndio itakayomponya
 
Kulipa ni matokeo mkuu, Na pale unapo kuwa umetatua changamoto ya mtu au Jamii kulipa lazima kuwepo.
Watu wengi wana mawazo mazuri ya biashara, lakini changamoto ni mitaji; wapo wengine wana wazo ambalo ukilipima unaona kweli ukiwekeza kuna faida mbeleni. Na wapo wenye mitaji lakini hawana mawazo ya biashara ila wanatamani wafanye biashara. Wazo likiwa ni laki-ujuzi itakuwa ni bora zaidi,kwa sababu litachochea kwenye utengenezaji wa bidhaa na si uchuuzi:-
Mfano:-
  • Labda wewe ni mtaalamu wa meno huna kazi ila una wazo na uko tayari mtu afungue clinic yake akuajiri.
  • Labda wewe unaujuzi wa kuvundika vyakula na uko tayari kuajiriwa iwapo mtu atawekeza kwenye wazo lako
  • Labda wewe ni fundi nguo/viatu n.k una wazo na uko tayari kuajiriwa na yule atakayewekeza kwenye wazo lako
  • Labda wewe ni fundi magari unawazo ambalo mtu akiwekeza utakuwa uko tayari akuajiri n.k
Itakuwa ni vizuri zaidi, upambanue wazo lako vizuri pamoja na makisio ya uwekezaji ili wenye nia waweze kujadili. Tufunguke zaidi, kwa sababu wazo likiwa kwenye makaratasi bila kutekelezwa linakuwa halina maana. Pia katika kuwasilisha wazo lako ni vizuri kuzingatia kundi la mtaji hapa chini:-
  • A. Tsh. 1000 - 99,000
  • B. Tsh. 100,000 - 500,000
  • C. Tsh. 510,000- 999,000
  • D. Tsh. 1,000,000- 5,000,000
  • E. Tsh. 5,100,000-10,000,000
  • F. Tsh. 10,000,000+
 
Kulipa ni matokeo mkuu, Na pale unapo kuwa umetatua changamoto ya mtu au Jamii kulipa lazima kuwepo.
Unachokisema ni sahihi mkuu, wazo linalopimika ni rahisi kujua kama litalipa ama halitalipa kutokana na mazingira uliyopo; mfano unamtaji labda wa milioni 10, na unataka uingie kwenye utengenezaji wa mavazi, itakubidi ufafanue wapi utapata vitambaa bora vya bei nafuu, utatumia gharama kiasi gani katika utengenezaji na zitamfikiaje mteja au soko, na faida itakuwa kiasi gani. Kwa hiyo mtu atapima nguvu ya uzalishaji vs nguvu ya soko....kama kwenye soko utatumia nguvu kidogo tu(maana yake uhitaji ni mkubwa), kwa nini wazo lisilipe?
 
DUNDA

Tunahitaji $2M kama Pre- Seed Investment with exchange equity ya 12% ya kutengeneza (DUNDA) App kwa ajili ya ku compete na Boomplay kwa soko la Africa wasanii mbalimbali wa Africa

Wasanii mbalimbali wa Africa wanaweza upload nyimbo zao kwenye app hiyo na mashabiki wao ku stream

Kampuni itasajiliwa Marekani jimbo la Delaware na itakuwa na ofisi San Fransisco silicon Valley, lakini pia kampuni itafunguliwa hapa nchini kwa MVP

San Francisco itakuwa ni development center HQ ya platform hii

Dar Es sallam patakuwa ni Global sales kwa maana kufanya B2B na wasanii wa Africa kujiunga na ku list nyimbo zao, lakini pia itakuwa sales kwa B2C kwa mashabiki mbalimbali ku stream nyimbo za wasanii mbalimbali

Vile vile watangazaji wanaweza fungua account zao kwa ajili ya Kuweka podcast mbalimbali kwa ajili ya watu kuwasikiliza

Wateja wetu ni wa aina mbili

1) wasanii wa Africa
2) waafrica na diaspora

$4M itatumika kama ifuatavyo

Mshahara wa UX/UI designer per year $122,000

Mshahara wa mobile developers per year $133,000 X 3 =399,000

Senior web developer $131,010

Lead web developer $131,000

Product manager $104,986

B2B account manager $85,447

Sales manager $147,000

Marketing lead $76,428

Business Intelligence $130,152

Digital marketer $128,375

Finance manager $155,307

Customer representative $72,075

Tunajua rent ya San Francisco ni ya juu sana kwa Marekani tutatumia Wework platform ambayo ni co working ambapo kwa mwezi ni kuanzia $12,000 per month

Hapa Dar Es Salaam rent kwa silicon Dar ni almost $3,000 per month

Platform itakuwa developed kwa muda wa miezi sita ambapo MVP ni miezi sita mingine tukitegemea wasanii 1,000 wa Tanzania watakuwa wamelist ambao baadhi yao wengi tutaingia mkataba nao wa ku release kwa kutumia platform yetu tu

Tukiwa san Francisco tutashiriki mijadala mbalimbali ya teknolojia kwa ajili ya ku pitch kwa wawekezaji ili tuweze ku rise funds zaidi na zaidi ambapo katika hili tutakuwa na mpango wa ku rise seed investment $5M , $14M series A na $50M series B respectively

Revenue

Tutakusanya mapato kwa namna mbili

1) platform yetu itakuwa ni freemium yani ni free ila kuna baadhi ya huduma ni za kulipia

2) matangazo ambapo kutakuwa na matangazo ya aina mbili

Matangazo ya makampuni makubwa Africa ambapo wanafanya kazi Africa nzima na hivyo yatasikika na watumiaji wote wa Africa hasa wale wanaotumia free account
Mfano cocacola, airtel, Emirates, Pepsi etc

Matangazo ya makampuni ya kati yaliyopo nchi moja moja kama vile nmb hawa watakuwa wanasikika kwa wasikilizaji wa nchini hiyo mfano nmb kwa Tanzania

Matangazo ya region mikoa etc kutakuwa na ALGORITHM itakayokuwa inakubali kwenye kila eneo

Price yetu kwa mwezi itakuwa $8 kwa mwaka ni $90 punguzo la $6

Mapayo yetu ni kama ifuatavyo

Year 1 $1,900,000
Year 2 $ 2,300,000
Year 3 $ 3,2000,00
Year 4 $ 5,900,000
Year 5 $ 7,200,000

Usijali kwanini investment ni kubwa kuliko mapato mfano watu watakuwa wana invest hela nyingi almost $71M lakini mpaka mwaka wa tano hatujarudisha hata robo ya uwekezaji usijali sana

Startups huwa zinacheza na valuations maana value ya startup hii baada ya ku rise $71M value yetu itakuwa ni zaidi ya $100M+

Exit strategy tutagemea baada kujenga jina kwa soko la Africa kwenye Series C kutakuwa kuna offers zitakuja toka Spotify, Apple music, pandora kwa ajili ya kununua huku tukiamini baada ya rise of series C post money valuation itakuwa $100M +

So kama uliwekeza 2M then ukawa na umiliki wa asilimia 12 kampuni ikiuzwa $100M piga hesabu ya 12% ya $100MView attachment 1504353View attachment 1504354
Na hao watakao fadhili series C na kupaisha valuation ya kampuni watapa equity ya asilimia ngapi?
 
Umechanganua vizuri sana ila kuna changamoto hapo kwa wasanii namna ya kuwalinda kwenye kazi zao na tambua kuwa bongo hatupendi mambo ya kulipia hapo inakuwa vp
 
Back
Top Bottom