Tusiache kuosha vyombo kabla ya kuvitumia hata kama ni visafi

Tusiache kuosha vyombo kabla ya kuvitumia hata kama ni visafi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam ndugu zangu,

Nimekutana na video hii nikaona sio mbaya nikiwaonesha nanyi ili mchukue tahadhari. Ni muhimu sana kusafisha vyombo au kusuuza kabla ya kuvitumia kutokana na kutembelewa na wadudu tusiowafahamu. Tazama hapa chini mjusi na mende wanachofanya.



 
Ondoa mzizi wa tatizo kwanza safisha/rekebisha nyumba/chumba na hao wadudu utawasikia kwenye bomba
 
Back
Top Bottom