Tusiache wala kuona aibu kula vyakula tulivyopenda utotoni?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Sometimes tunajikosesha lishe kwa kuogopa watu watatuonaje. Nimegundua kuwa wengi bado tunapenda vyakula tulivyopenda utotoni sema kujivunga na kukimbilia mijunk.
1.Usione aibu kununua vibama. kuna ndizi na muhogo mule.

2.piga bagia za kunde, tamu sana.

3.Piga ubuyu na ukwaju, vitamin C kibao.

4.kula Masasati, Mambura, Makusu, Mafenesi nk, vingine ni dawa.

5.Maembe ya kunyonya.

Sometimes maisha yanakuwaga magumu sababu tumeacha kufurahia vitu tulivyofurahia utotoni.
 
U ar right bro
 
Back
Top Bottom