Tusichokane jamani,Twaweza wananidai.

Tusichokane jamani,Twaweza wananidai.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Matumaini yangu mu wazima kabisa,kwa waliofunga hongera sana,mungu ni mwema karibu mtaanza kula lunch.
Hoja niliyo weka ukumbini jana ilihusu kujisomea vitabu,asante kwa wote mlioshiriki.
Naomba tuendelee kama ifuatavyo,je kuna faida gani ya kusoma vitabu? Kama hakuna faida kuna hasara gani?hapa na maana kuwa ukisoma unapata nini na usiposoma unapungukiwa nini.
Tafadhali tujadili kwa amani.
 
Faida za kusoma kitabu zipo nyingi tu

1. Kupata maarifa mapya
2. Kudumisha mbinu za usomaji
3. Kujifunza mbinu mpya za maisha
4. Kuongeza uwezo wa kufikiri
5. Kujifunza tamaduni mbalimbali

Na kadhalika na kadhalika hizo ni kwa uchache tu
 
Back
Top Bottom