Tusidangabyane 95% ya Watanzania 'Boxing Day' yetu ya leo tunaenda nayo kwa Mtiririko huu Ufuatao.....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Kutokualikwa Krisimasi jana kutokana na Hali Ngumu ya Kimaisha iliyoko kwa 95% ya Watanzania

2. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya kutopata Hela ya Kutatua taabu zako za kulipia Kodi unakoishi, kujaza Mafuta Gari lako la Mkopo na Kulipia Chumba Gesti baada ya Kuokota Goma ( Malaya ) uliyoomba.

3. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Jana Krisimasi kupakaa Vumbi la Kongo ili uje Kumnyoosha na Kumkomoa Mtu halafu kwa Kuchezwa Kwake Machale hakuja.

4. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Kutonunuliwa Nguo, Viatu na Vinginevyo na Mumeo au Mpenzi wako.

5. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Jana Krisimasi kushindia Ugali, Tembele na Dagaa la Mwanza ( hii inanigusa GENTAMYCINE kwa 100%. )

6. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Wageni kujitokeza kwa wingi Kwako jana Krisimasi na Kumaliza Chakula chote wakati Wewe ulikipangilia hadi leo Kiwepo ili uokoe gharama na usiharibu Bajeti yako.

7. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Jana Krisimasi kumtaka Mwamba avae Condom ila Yeye ( Hawara ) Kauza Mechi mazima ( Kavu Kavu ) hivyo sasa hujui kuwa ameshakuvimbisha Tumbo lako au ameshakuachia Virusi HATARI vya 1981 kwa mujibu wa WHO.

Kuwa Huru tu nawe Kuongezea zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…