GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Niliandika hapa hapa JamiiFoums na tena mwaka huu huu kuwa ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atakataa kuwa Yanga SC inaenda tena kuwa Bingwa wa NBC Premier League kwa mwaka wa Tatu mfululizo na huenda hata na Msimu ujao kutokana na Upuuzi mkubwa ulioko Simba SC wakawa Mabingwa tena.
Kama kawaida kuna Wapumbavu wasiojua kuwa GENTAMYCINE nina Upako mkubwa na Maono makali ya Kubariki na Kutabiri wakanikatalia na kama kawaida yao wakaanza Kunitusi, Kunidhalilisha na Kunidhihaki Mbarikiwa Mimi ambaye Mungu Kiasili kaniumba kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi.
Sijui ni lini mtanijengea Sanamu langu kwani nawatangulieni katika Taarifa nyingi za Kimatukio na zile Muhimu mno pia.