barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
umeona eeee mkuupole kwa kushabikia jipu
its trueDie hard fans wa nini wakati timu haina pressure??die hard fans wapo arsenal tu
pole kwa kushabikia jipu
Duh!umeona eeee mkuu
Kiongozi die hard fans maana yake ni nini kwanza?Die hard fans wa nini wakati timu haina pressure??die hard fans wapo arsenal tu
Mashabiki wa Arsenal wanajuta kukutana na Barca, na wanajua washatoka tayari ktk mashindano.Barcelona Barcelona, Barcelona , Barcelona...
Na bado utawataja sana...
Ndio maana nimeweka huu uzi, wewe unathibitisha hilo.Die hard fans wa nini wakati timu haina pressure??die hard fans wapo arsenal tu
Die hard fan ni yule anayeipenda timu yake unconditionallyngoja sisi makapi tupate burudani bila stress sasa we die hard wa arsenal endelea kufa maziko yako yataanzia saa tano kasorobo usiku wa leo
Mkuu, wewe timu gani?Nimekuelewa
Kama si makapi ya epl/ac Milan&inter Milan basi ni wale waliochelewa kushabikia soka
Kuna mashabik weng wa Barcelona waliotoka mikoani ambao wameanza kuangalia mpira kwa mkumbo walipokuja chuo dar,na wengi wanaishangilia Barcelona kwa sababu ya Messi kama wale walioanza kuishangilia kwa uwepo wa Ronaldinho
Barcelona haina die hard fans Tanzania