Tusidanganyane Bondia Mwakinyo ' alipigwa ' ila anabebwa tu na ' Promo ' nyingi na kama ' Turufu ' ya Kisiasa na wenye Dola yao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimerudia Kiumakini kabisa na taratibu Kuangalia Mkanda mzima wa Pambano na Bondia Mtanzania Mwakinyo na Mfilipino na Kugundua ya kwamba Bondia Mwakinyo alizidiwa Alama ( Points ) Nne ( 4 ) zaidi Mpinzani wake Bondia Mfilipino.

Hivyo basi Mimi GENTAMYCINE Mtanzania pekee nisiyependa Unafiki na Uwongo natangaza rasmi Mshindi wangu ni Bondia Mfilipino na siyo Bondia Mtanzania anayebebwa mno na ' Promo ' huku pia akitumika kama ' Turufu ' ya Kisiasa na Chama Dola.

Kwangu Mimi Bondia mahiri kwa sasa nchini Tanzania ni Dula Mbabe pekee. Mtasemaje Bondia Mwakinyo ni mzuri na anajua Kupigana wakati jana muda wote tu alikuwa anautumia Kujikinga na Kuzungukazunguka tu Ulingoni kama Inzi wa Hotelini? Acheni Kumpamba hajui Ngumi na hata Mimi nikijifua na huu ' Umusoma / Umara ' wangu ' Ulionitukuka nampasua ' mapema.
 
Heeee jamani mtoto watu kapigwa kisa nini tena, hii serikali ya CCM haina demokrasia kabisa 😬😬😬😬
 
sasa hivi ndio na amini yale maneno ya Mwakinyo aliposema kuna baadhi ya Watanzania walienda kumshangilia mfilipino

Ni watanzania wachache sana wanaopenda mafanikio ya watanzania wenzao, wengine huwa wanataka watanzania wote wawe katika hali moja yaani kama yeye ni masikini basi anataka watanzania wote wawe masikini
 
Sorry mkuu naomba ubadirishe hiyo avatar kabla sjakushtaki kwa mods wetu wa JF😆😠😠😠
 
Hata yeye Mwakinyo amekiri kwa hilo
Pambano lililonivutia mimi ni lile Pambano la Twaha kiduku na Msouth Africa..
Msouth alipelekewa za fasta fasta pasipo yeye kutegemea[emoji3]
 
Mshindi wa pambano ni Mwakinyo. Kuhusu kupigwa unajua wewe.
 
Tupate kwanza maneno toka kwa wadhamini wetu kabla ya kuendelea.
 
Hata Mimi nakuunga mkono, mshindi no Tainpay a.k.a Mfilipino. Mwakinyo mchumba tu kwa huyu Mfilipino.
 
Huyo mwakinyo wenu ana acha kupambana na vijana wenzake kama kina J.CASIMERO anahangaika na hawa wazee ambao hawa msaidii kupandisha chat yake!
 
Back
Top Bottom