Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Umesema vyema, wanajua tu lazima mzigo uchujeHata hizo brand kubwa wanaotengeneza wanakwambia jeans si kitu cha kufua mara kwa mara
Hata quality ya material inapotea kwenye kufuaUmesema vyema, wanajua tu lazima mzigo uchuje
Vp hazinuki uvundoNina jinsi zangu nne za kuunga unga ni mwezi wa tano sasa nazifanyia rotation bila kufua ni mwendo wa kufuta tu na kitambaa ili ziendelee kumantain rangi yake
ndo ya kwanza? umeshaanza kula udongo? au ndimu/limao?Jeans nyingi za kike hazichuji rangi
Msinibishie wala kunifokea nina mimba changa
Kweli kabisa naunga mkono 🤝Jeans nyingi za kike hazichuji rangi
Msinibishie wala kunifokea nina mimba changa 🤨
Wangapi watanunua bro angalia na mazingira basi!Zipo ambazo hazichuji bei laki2 kwa 1
Sawa mkakaliaJeans nyingi za kike hazichuji rangi
Msinibishie wala kunifokea nina mimba changa 🤨
Hongera kwa mtia mimbaJeans nyingi za kike hazichuji rangi
Msinibishie wala kunifokea nina mimba changa 🤨