Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Inategemea kwako unatafsiri vipi, binafsi ingawaje mimi siyo Mtaaalamu wa mambo ya Katiba lkn hainiondolei uwezo wa kujua kwamba yalioandikwa kwenye Katiba ya Nchi au yoyote ile, inategemea na jinsi unavyoyatafsiri, unaweza kuyageuza na kuyasema vyovyote vile, na kinachotokea hapa ndicho maadui wa Tanzania chadema & Co. wanachokifanya!
Wanaitafsiri Katiba yetu jinsi wajuavyo wao au wanavyotaka wao na kusema Raisi wetu kavunja Katiba ya nchi yetu, lkn pia wanasahau kwamba Raisi wa JMTZ ana jukumu la kuilinda nchi dhidi ya waovu, na hili pia ni kwa mujibu wa Katiba hiyo hiyo, hivyo tusizinguane hapa, kama Nchi imeona Binadamu xyz ni hatari na usalama wa nchi ina jukumu lake kumshughulikia na hii ni kwa mujibu wa Katiba yetu, na ndiyo maana hata USA mpka leo hii ingawaje wasiompenda Raisi D.Trump wanashindwa kumshitaki ingawaje wanajaribu kwa kuitafsiri Katiba ya USA wanavyoona wao ili kukidhi wanachokitaka lkn wanakwama!
Hata chadema walivyomchukuwa Lowasa kugombea Urasi walivunja Katiba yao wao wenyewe lkn pia walitumia Katiba hiyo hiyo kulihalalisha, hivyo kuvunja au kutokuvunja Katiba ni relative, na mwisho wa siku kama humpendi mtu humpendi tu na utatafuta kila kitu na kufanya kila uwezalo kulihalisha hilo, ...