Tusidanganyane: Sadio Kanoute Sio Box-2-Box Midfielder

kiukweli naona kanoute ana mindset ya ukabaji zaidi kuliko ya kushambulia kitu ambacho naona anafanana na lwanga,nashauri coach asianze na viungo wawili wote wenye asili ya ukabaji yaani kanoute na lwanga. kanoute anafaa apewe mikoba ya namba 6 huku 8 abaki bwalya na 10 ajibu aaminiwe apewe nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kutoa credits unaponakiri andiko la mtu mwingine.

Siyo sheria lakini ni uungwana tu
 
Heee....
Sio mbaya ni maoni pia.
 
Hebu tupe elimu yako ya ukocha wa mpira wa miguu au match analyst

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Copy n' paste
 
Mleta mada mifano yako ya wachezaji uliowataja sio sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…