peche luke
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 365
- 106
Kwa mambo yanavyoendelea sasa kuna kila uwezekano kuwa hadi 2015 tutakua hatujapata katiba. Ushauri wangu tuone uwezekano wa kuongeza muda wa uongozi tulio nao sasa mpaka tuwe na katiba itakayo ridhiwa na wote.
kaka naona unataka kumalizia na kibanda chako cha 10 nini?,Kwa mambo yanavyoendelea sasa kuna kila uwezekano kuwa hadi 2015 tutakua hatujapata katiba. Ushauri wangu tuone uwezekano wa kuongeza muda wa uongozi tulio nao sasa mpaka tuwe na katiba itakayo ridhiwa na wote.
Angalizo muda tutakoongeza usizidi miaka mitano tu basi.
kaka naona unataka kumalizia na kibanda chako cha 10 nini?,
Kwa mambo yanavyoendelea sasa kuna kila uwezekano kuwa hadi 2015 tutakua hatujapata katiba. Ushauri wangu tuone uwezekano wa kuongeza muda wa uongozi tulio nao sasa mpaka tuwe na katiba itakayo ridhiwa na wote.
Angalizo muda tutakoongeza usizidi miaka mitano tu basi.
Hapo kwenye interim govermemt naomba kutofautiana na wewe. Tuendelee na waliokuwepo kwani wanaouzoefu. Tusisahau utashi binafsi wa mheshimiwa kuhusu katiba. Hiyo interim goverment itakuwa kujichanganya tu.......pia si busara kuharakisha kupata katiba mpya kwa ajili ya general election ya 2015. Lakini pia kufanya general election 2015 kwa katiba ya sasa ni maafa. Ni bora kuwe na interim government baada ya muda wa serikali ya sasa ili tuendelee kutengeneza katiba bora yenye maridhiano ya kitaifa. Hatuna budi kuchagua njia njema yenye maslahi mapana kwa taifa.
Kwa mambo yanavyoendelea sasa kuna kila uwezekano kuwa hadi 2015 tutakua hatujapata katiba. Ushauri wangu tuone uwezekano wa kuongeza muda wa uongozi tulio nao sasa mpaka tuwe na katiba itakayo ridhiwa na wote.
Angalizo muda tutakoongeza usizidi miaka mitano tu basi.
Hiyo miaka mitano ni term nzima ya uongozi. Siungi mkono hoja kwa sababu watawala wataendelea ku delay mchakato wa katiba ili waendelee kutawala. Uchaguzi ufanyike kama kawaida. Na wao kuendelea kutawala bila uchaguzi ni kwenda kinyume na katiba ya sasa ambayo bado iko valid mpaka hapo katiba mpya itakapopitishwa.